UTUME WETU NI:
1. Kuokoa toka dhambini na kuelekeza katika utumishi.
2. Kuhubiri Injili kwa kila Taifa katika ulimwengu wote, kwa kila lugha, taifa, kabila, na jamaa.
3. Kuwaelekeza namna na mfumo mzima wa ulaji ili wawe na afya iliyo salama.
4. Kufundisha amri 10 za Mungu ikiwemo na Sabato, kama zilivyo katika Biblia, na kuzitenda.
5. Kufundisha juu ya vitu vilivyosafi na najisi kwa mjibu wa Biblia.
NENO LETU KUU:
Sabato ni ya Bwana wanadamu wote wanaalikwa kuabudu katika siku hiyo! utaniuliza niipi? jibu ni rahahisi hata mwenyewe unaijua, NI JUMAMOSI.
MOTTO WETU:
UAMSHO NA MATENGENEZO, UTUME ULIOKUSUDIWA KUPAA KWA KASI KUBWA TUKIWEZESHWA NA ROHO MTAKATIFU.
No comments:
Post a Comment