Matukio

Matukio katika picha

Wanafunzi wa shule ya Msingi Mpechi na Sabasaba, wakiwa katika maandamano, baada ya mwanafunzi mmoja (Irene Kadege) kugongwa na gari aina ya Tax yenye namba T.612AQP, na kupoteza maisha yake. ajali hiyo ilitokea  katika eneo la Ofisi za Halmashauri ya Wilaya Njombe, barabara ya kuelekea songea. aidha walishauri madereva kuwa makini na kuomba serikali ijenge matuta katika eneo hilo.
                Picha na Jonas Tave
             


No comments: