Ingawa
sheria ya Mungu ni sheria ya rehema na neema ..hatimaye Mungu anaitumia
kama kiwango au sababu ya kuhukumu... Matokeo ya sheria yanakuwa hasi au chanya
kutokana na mshika sheria mwenyewe anavyoiendea... sheria kazi yake ni
kuonyesha dhambi sasa kama umeishika alafu hujaiendea neema ya Yesu
ikusafi na kukusamehe,basi sheria hiyo itadai Ufe.. pia kristo anasema
kuwa hukumu haitoki kwake- bali kwamba mwenye dhambi asiyetubu anajihukumu mwenyew pale anapokataa kusikiliza sheria(amri za mungu)...
hivi karibuni kabla au baada ya mlango wa rehema kufungwa tangazo litasikika "mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu,mwenye uchafu na azidi kuwa uchafu na azidi kuwa mchafu, mwenye haki na azidi kutenda haki, na mtakatifu na kutakaswa,(ufunuo 22:11)......
sheria kama kiwango cha hukumu pia ni kipimo cha upendo kwa Mungu ndani yako.. so shika kikamilifu cheria ya Mungu kwa upendo uliokisiri ndani yako juu ya YESU na neema yake itakuhesabia haki....

No comments:
Post a Comment