Kitabu cha KUTOKA 20:8-11
Mungu hajatuacha gizani, amebainisha katika kitabu chake kitakatifu:-
Mungu hajatuacha gizani, amebainisha katika kitabu chake kitakatifu:-
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya sabato akaitakasa.
No comments:
Post a Comment