Thursday, July 19, 2012

SABATO NJEMA KWA WOTE

Imesalia Raha ya Sabato kwa watu wa Mungu Ebrania 4:9-12
Tunakumbuka kuwa kila kiumbe kimeumbwa na Muumbaji ambaye ni Mungu wa viumbe vyote vyenye uhai vinavyoonekana na visivyoonekana. Nakwamba Bwana alifanya kazi siku sita na ya saba akapumzika Kutoka 20:8-11.

No comments: