Saturday, May 26, 2012

HAPPY SABBATH DAY!

HAPPY SABBATH DAY TO ALL!!!!!!!!!!

TUNAPOPUMZIKA SIKU YA SABATO TUNAKUMBUKA UUMBAJI KWAMBA KILA KIUMBE DUNIANI KILIUMBWA NA MUNGU.


Mwanzo 2:1-4 Baada ya Mungu kumaliza kuumba alipumzika siku ya saba: (a)Akaibariki. (b)Akaitakasa. (c)Akastarehe.


Amesema pia katika kitabu cha Kutoka 20:8-11, Ikumbuke siku ya Sabato...... kwa siku sita Bwana alifanya Mbingu na nchi na bahari na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya Saba; kwahiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.

Tunakumbuka Uumbaji na kuwa Tuliumbwa!

 Unakawilia nini? Karibu tupumzike katika siku takatifu ya J,mosi, iliyowekwa rasimi kwa Ibada na Mungu. Ebrania 4:9, Imesalia Raha ya Sabato kwa watu wa Mungu.


Ubarikiwe sana, Next Sabbath Ninakukaribisha sana Tumwabudu Mungu tukumbuke Uumbaji.

No comments: