Sunday, August 25, 2013

 ONYO LA MWISHO KWA DUNIA

MPANGO WA ULIMWENGU MPYA UNAKUJA !
Viongozi Wa Ulimwengu
Wanautaka
Unao Watetezi Wengi
Ulitabiliwa miaka elfu mbili
iliopita
Umekaribia sana
Utauteka Ulimwengu
Ni vipi ya kujiandaa kwa huo
mpango
Jinzi ya kuepuka huo
mpango
Mwanguko wake wa ghafula
na wa mwisho ulitabinwa
Ni wakati wake wa kipekee
Ni mpango mpya halisi
“Upende usipende, tayari au la, zote tumehuzishwa ndani na nje,
bila kizuizi chochote, katika njia tatu za mashindano ulimwenguni.
Wengi wetu si washindani, lakini ni wahusika kwa vile
mashindano ni nani atakayeiunda serikali ya kwanza ya
muungano, ambayo haijawahi kutokea katika jamii za kimataifa....
Shindano liko nje kwa sababu tayari limeanzishwa, na hakuna
njia ya kulirudisha nyuma au kulikomesha”. Malachi Martini, Keys
of this Blood, kurasa 15.❏
Niwazo Kubwa: mpango mpya wa
ulimwengu, wakati mataifa mbali
mbali wanapo sukumwa pamoja
kwa kusudi la pamoja... ni Marekani
pekee ambayo ina msimamo thabiti
na uwezo wa kuusukuma mbele.
George Bush, asema Katika Gazeti
la, Los Angeles Times, Feb. 18,
1991.
“Chini ya uongozi shupavu wa
Papa Yohana Paulo II, makao
Makuu ya Vatikani yaidhinisha
mahali pake katika ulimwengu
kama sauti ya Kimataifa. Ni haki tu
ya kwamba nchi hii ya marekami
ndio tu inayoonyesha heshima kwa
Vatikani kwa kuielewa kama
msuluhishi au mpatanishi na kama
taifa katika ulimwengu.” Dan
Quayle, Mwito kwa Baraza la
Umarekani, Septem-ba 22, 1983.
“(Yohana Paulo II) asizitiza ya
kwamba watu hawana tumaini la
ketegemewa kwa kuiunda serikali
inayojitegemea, mpaka tu iwe chini
ya msingi wa Ukristo wa Katolika
ya Kirumi.” M. Martini, Keys of this
Blood, ukurasa wa 492.
“Umoja wa Mataifa Viongozi wa
Kamati ya Ulinzi wa kimataifa
walikuwapo hivi leo huko New York
katika mkutano wao mkubwa,
wakiwa tayari kuiweka Umoja wa
M A R E K A N I - U P A P A - U M O J A W A M A T A I FA
ONYO LA MWISHO KWA DUNIA
nchi za Mataifa kuwa katikati ya
mpango huu wa ulimwengu mpya na
kuyasukumia mapatano ya umoja
kuhusu kulete amani na ulinzi wa
silaha....
“Mkutano wa viongozi wa Kamati
ya Ulinzi wa nchi 15 ndio wa kwanza
tangu mwaka wa 1945 kamati, ilio na
uwezo mkubwa wa Umoja wa
Mataifa, imekutana katika kilele
chake.” Birmigham News, Jan. 31,
1992.
“Wenzetu tulio wa miaka chini ya
sabini twaweza tuk-aona msingi wa
serikali ya Ulimwengu mpya
ukiwekwa. Wenzetu tulio wa chini ya
miaka arobaini hakika hapana
shaka kuishi katika utawala wake
wa kishenzi, utendaji, na mamlaka
sawa. Kweli, watatu hawa wana
shindana na muda unapoendelea
wengine wengi wengi bali na
hawa watatu-wanaongea juu ya
mpango wa ulimwengu mpya sio
kama kitu ambacho ki karibu
sana.” M. Martin, Keys of this
Blood, 15-16.
“Ndoto juu ya Mpango. Kama
vile mawazo ya mageuzi mengi,
Umoja wa Ulaya sio wazo mpya
bali ni la zamani ambalo
limefufuliwa. Ndoto la mpango na
umoja ulioonekana katika Rumi ya
Kaisari ulidumu katika Zama za
Kati (au zama za giza) sio tu katika
Kanisa la Katoliki la kirumi bali pia
katika milki ya Rumi takatifu.” Jarida
la Time, Oktoba 6, 1961.
“Kile ambacho kimekuwa
kikisukumwa mbele chini ya
Mapatano ya Rumi katika Soko la
Pamoja, limefunishwa sana, na
hata kunyooshwa sana, na kwa
nguvu kuwazuia watawala wa
serikali, ambacho ni wazi kabisa ya
kwamba kina jaribu kulete msingi
wa kiuchumi wa Milki ya Rumi
Takatifu katika ulaya.” Christian
Science Monitor, 1962.❏
2
J E R U M I I TATAWA L A U L I M W E G U T E N A ?
Sio juhudi la jarida hili
kushambulia watu binafsi bali
ni kutoa historia na kibibilia
unabii uliotabiriwa katika
mpangilio wa dini ya Kikatoliki
siku za usoni.
Church of St. Peter, Rome
MAPATANO
YA KIFO
MTUME PAULO, katika
barua yake ya pili kwa
Wa t h e s a l o n i k e ,
alitangulia kutabiri juu ya uasi mkuu
ambao matokeo yake yangeleta
kusimamishwa kwa uwezo wa kipapa.
Alitangaza kwamba siku ya Kristo
haitakuja, “usipokuja kwanza ule
ukengeufu, akafunuliwa yule mtu wa
kuasi mwana wa uharibifu; yule
mpingamizi ajiinuaye nafsi yake juu ya
kila kiitwacho mungu, au kuabudiwa;
hata yeye mwenyewe kuketi katika
hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi
yake kana kwamba yeye ndiye
Mungu.” Na zaidi ya hapo, mtume
paulo alionya wandugu wake wa imani
kwamba “maana ile siri ya kuasi hivi
sasa inatenda kazi.” 2 Wathesalonike
2:3-4,7. Hata mwanzo wa nyakati
hizo, aliyaona yakinyemelea kuingia
kanisani, makosa ambayo
yangeandaa njia kwa kukua kwa
upapa.
Kidogo kidogo, kwanza kwa siri na
kimya, na wazi zaidi ilipokuwa
ikiongezeka kwa nguvu na kuyatega
mawazo ya watu, “siri ya uasi”
iliendeleza mbele udanganyifu wake
na kazi yake ya makufuru. Karibu
kutoonekana kabisa mila za kishenzi
zikapata mahali kuingia katika kanisa
la Ukristo. Ile roho ya mapatano na
kufanana ilizuiliwa kwa muda na
mateso makali ambalo kanisa
lilifumilia chini ya kishenzi. Lakini
mateso ilipokoma, na Ukristo kuingia
majumba ya wafalme, kanisa likaweka
kando unyenyekefu wa kristo na
mitume wake kwa kujitakia makuu na
kiburi ya makuhani na viongozi wa
kishenzi; na katika sehemu ya sheria
ya Mungu, badala yake likabandilisha
elimu na mafundisho ya watu.
Kuongoka nusu kwa Costantino,
katika mwanzo wa karne ya nne,
kulileta shangilio mkubwa; na
ulimwengu, ukiwa umefunikwa mfano
wa nguo ya haki, ukaingia kanisani.
Sasa kazi ya uharibifu ikaendelea
mbele kwa kasi. Ushenzi,
ulipoonekana kushindwa, badala yake
ukashinda. Roho wake akatawala
kanisa. Mafundisho yake, sherehe
zake, na mambo ya uchawi
vikashirikishwa katika imani na ibada
za wanaokiri kuwa Wakristo.
Mtu wa Kuasi
MAPATANO hayo kati ya
kishenzi na Ukristo yalitokea
kustawi kwa yule “mtu wa kuasi”
aliyetabiriwa katika unabii kuwa
mpingamizi ajiinuaye nafsi yake juu ya
Mungu. Utaratibu huu wa dini ya
uongo ni kazi bora ya nguvu za
Shetani-ni nguzo ya juhudi yake yeye
mwenye kukaa katika kiti kuitawala
dunia kulingana na mapenzi yake.
Shetani alijitahidi awali kufanya
mapatano na Kristo. Alimjia Mwana
wa Mungu katika jangwa ya majaribu,
akimwonyesha Yeye falme zote za
ulimwengu na utukufu wake wote,
akamuahidi kutoa vyote mikononi
Mwake ikiwa Angekiri utawala wa
huyu mfalme wa giza. Kristo
alimkemea mshawishi huyo mwenye
kiburi na kumtukuza. Lakini Shetani
huleta majaribu hayo kwa
mwanadamu. Kwa kupata faida za
ulimwengu na heshima, Kanisa
likaongozwa kutafuta upendeleo na
dunia; na baada ya kumkana Kristo,
akashawishiwa kutoa utiifu kwa
mwakilishi wa Shetani askofu wa
Rumi.
Msingi wa Upotovu
NI MOJA yapo ya mafundisho
tangulizi ya Kirumi ya kwamba
papa ndiye kichwa halisi cha kanisa
la Kristo ulimwenguni, ambaye
amezingirwa na uwezo wa utawala juu
ya maaskofu na wachungaji katika
pembe zote za ulimwengu. Zaidi ya
hayo, papa amepewa jina la Mungu.
Amekuwa akiitwa kwa umbo la
“Mungu Bwana Papa,” na amekuwa
akinenwa kuwa asiyeanguka. Yeye
hutaka watu wote wamsujudie. Dai lile
lile Shetani alisisitiza katika jangwa la
majaribu anaendelea kusisitiza kupitia
Kanisa la Rumi, na idadi kubwa ya
watu wako tayari katika heshima zake.
Lakini wamchao Mungu na
kumheshimu hukumbana na madai
haya ya kujiinua-juu ya Mbinguni
kama vile Kristo alivyo kumbana na
ushawishi wa yule mjanja: “Msujudie
Bwana Mungu wako, umwabudu yeye
peke yake.” Luka 4:8. Mungu hajawahi
kudokeza katika Neno Lake ya
kwamba Yeye amemteuwa mtu ye
yote kuwa kichwa cha kanisa.
Fundisho la utawala wa kipapa
hupinga kabisa mafundisho ya
Maandiko. Papa hawezi kuwa na
nguvu juu ya kanisa la Kristo ila tu kwa
unyang’anyi.
Warumi wameshikilia katika kuleta
uzushi juu ya Waprotestanti na
kujitenga katika kanisa la kweli. Lakini
lawama hizi zina walenga hao
wenyewe. Hao ndio walioi-shusha
chini bendera ya Kristo na wakajitenga
na “imani iliokabidhiwa watakatifu
mara moja tu.” Jude 3.
Vumbuzi la Uongo
SHETANI alijua sawa kabisa ya
kwamba Maandiko Matakatifu
yangewezesha watu kutambua
udanganyifu wake na kupinga nguvu
zake. Ni kupitia kwa Neno hilo
Mwokozi wa ulimwengu alizipinga
shambulizi zake. Katika kila shauri la
yule adui, Kristo alitoa kinga la ukweli
wa umilele, akisema, “imeandikwa.”
katika kila shawishi la yule adui,
Aliupinga akitumia hekima na nguvu
ya Neno. Ili Shetani audumisha mvuto
wake juu ya watu, na kusimamisha
uwezo wa unyanganyi wa kipapa, ni
mpaka angefanya wasiyajue
Maandiko. Bibilia ingemwinua Mungu
na kuwaweka wanadumu katika
mahali pao halisi; kwa hivyo, kweli za
Bibilia zingefichwa na kukanyagiwa
chini. Na elimu hii ilibuniwa na Kanisa
la Kirumi. Kwa mamia ya miaka
usambazaji wa Bibilia ulikataliwa.
Watu walikatazwa kusoma au kuwa
nayo manyumbani mwao, na
makuhani wasio na msingi na
maaskofu wakatafsiri mafundisho
yake ili kutosheleza ubinafsi wao. Kwa
hivyo papa akawa Mungu duniani,
ambaye amevikwa mamlaka juu ya
kanisa na serikali.❏
KUSUJUDU
KISHENZI
FUMBUZI la uogo lilipoondolewa,
Shetani akafanya
kulingana na mapenzi yake.
Unabii ulikuwa umetangaza kwamba
Upapa “ungefikiria kubadili maji ra na sheria
“Hapa duniani tunashikilia
pahali pa
Mungu Aliye juu.
Danieli 7:25. Jitihada hii
haikujaribiwa pole pole. Ili kujipatia
waumini kutoko kwa mataifa badiliko
la ibada ya sanamu, na hasa kuinua
Ukristo wao wa jina tu, ibada ya
sanamu na makumbusho ya wafu
iliingizwa pole pole katika ibada ya
Wakristo. Amri ya kamati kuu
mwishowe ikajenga utaratibu huu wa
uabuduaji wa sanamu. Ili kukamilisha
kazi hii ya kukufuru, Rumi ikawazia
kuiondoa kutoka kwa sheria za
mungu amri ya pili, inayokataza
uabuduaji wa sanamu, na kugawanya
amri ya kumi, ili waendelee kuwa na
hesabu kamili.

Saturday, August 24, 2013

IKUMBUKE SIKU YA SABATO

Kitabu cha KUTOKA 20:8-11

Mungu hajatuacha gizani, amebainisha katika kitabu chake kitakatifu:-
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu na nchi, na bahari, na vyote  vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya sabato akaitakasa.